Francesc Xavier Butinyà i Hospital
Mandhari
Francesc Xavier Butinyà i Hospital (Banyoles, 16 Aprili 1834 – Tarragona, 18 Desemba 1899) alikuwa mjumbe wa Hispania wa Shirika la Yesu kutoka Katalonia, mwalimu, mwandishi, na mwanzilishi wa mashirika mawili ya masista.
Alikuwa mwana wa mmiliki tajiri wa kiwanda. Hata hivyo, wakati wa Mapinduzi ya Viwanda nchini Hispania, alikuwa mtetezi wa mapema wa uhusiano wa asili kati ya imani ya Kikristo na tabaka la wafanyakazi, ambao walikuwa wanateseka katika hali mbaya za kazi na maisha.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Francesc Xavier Butinyà i Hospital kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |