François Giuliani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

François Giuliani alizaliwa tarehe 5 mwezi Agosti mwaka 1938 nchini Algeria.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Alikuwa mwandishi wa habari na mtangazaji kutoka nchini Algeria .

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 1961 alijiunga na wafanyikazi wa Reuters. Akifanya kazi kama mwandishi wa habari na alifanya kazi barani Afrika na Landani. Kwa takriban miaka kumi. Mnamo mwaka 1971 alijiunga na Sehemu ya Waandishi wa Habari ya Umoja wa Mataifa. Ambao alifanya kazi kwa zaidi ya miaka ishirini. Mnamo mwaka 1992 alihamia Idara ya Habari ya Umma ya Umoja wa Mataifa. Mnamo mwaka 1996 alihamia UN na kuwa Mkurugenzi wa Vyombo vya Habari na Uhusiano wa Umma huko Metropolitan Opera ambapo alihudumu hadi alipostaafu mnamo Mwaka 2006.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]