Forontoniana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la kirumi la Africa Proconsularis mwaka 125 BK.

Forontoniana ulikuwa mji wa kale katika jimbo la Kirumi la Byzacena. [1] Mji huo unatambulika kwa magofu yaliyopo huko Henchir-Bir-El-Menadla katika Tunisia ya sasa.[2]

Pia Forontoniana palikuwa ni makao ya maaskofu kadhaa wa Kanisa Katoliki hapo zamani. [3][4] Askofu pekee anayefahamika wa hii dayosisi anaitwa Felix.

Leo hii, Forontoniana ni jimbo jina tu. [5]

Maaskofu[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Joseph Bingham, Origines Ecclesiasticae (W. Straker, 1840) p231.
  2. Forontoniana at .gcatholic.org
  3. Pius Bonifacius Gams, Series Episcoporum Ecclesiae Catholicae, (Leipzig, 1931), p. 465.
  4. Stefano Antonio Morcelli, Africa Christiana, Volume I, (Brescia, 1816), p. 161.
  5. La sede titolare nel sito di www.catholic-hierarchy.org
  6. Notitia Byzacena, 08.
  7. La sede titolare nel sito di www.catholic-hierarchy.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Forontoniana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.