Nenda kwa yaliyomo

Florian Wirtz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Florian Richard Wirtz (alizaliwa 3 Mei 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Florian Richard Wirtz | Bayer 04 Leverkusen | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florian Wirtz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.