Nenda kwa yaliyomo

Florence Omagbemi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frorence omagbemi
Amezaliwa 2 Februari 1975
[Nigeria ]
Nchi [Nigeria ]
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Florence Omagbemi (alizaliwa 2 Februari, 1975) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Nigeria ambae anacheza kama kiungo.

Alishiriki na timu yake ya taifa katika mashindano manne ya Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake, Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake na katika michuano ya michezo ya Olimpiki ya mwaka 2000.

Mnamo mwaka 2016 alitajwa kuwa kocha wa muda wa timu ya taifa ya Nigeria baada ya hapo awali kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20.[1][2]

  1. "Flo Omagbemi". Women's United Soccer Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Februari 2003. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Nakala iliyohifadhiwa, archived from the original on 2016-07-10, https://web.archive.org/web/20160710100533/http://dailymail.com.ng/biographyprofilehistory-of-new-interim-coach-of-super-falcons-florence-omagbemi/, retrieved 2022-05-16
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florence Omagbemi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.