Nenda kwa yaliyomo

Ferran Torres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ferran Torres

Ferran Torres (aliezaliwa 29 Februari 2000) ni mchezaji wa soka anayechezea katika klabu ya Valencia CF kama mshambuliaji wa kulia na timu ya taifa ya Hispania.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Torres aliitwa katika kikosi cha Hispania katika Mashindano ya Ubingwa wa Ulaya wa chini ya 19 wa UEFA huko Armenia. Alifunga goli la ushindi katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Ufaransa, na alifunga mogoli yote mawili ya ushindi wa 2-0 dhidi ya mabingwa watetezi Ureno kwenye uwanja wa Vazgen Sargsyan Republican huko Yerevan.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ferran Torres kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.