Nenda kwa yaliyomo

Fernando Miguel Gil Eisner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fernando Miquel Gil Eisner (8 Mei 195317 Januari 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Uruguay.

Gil Eisner alizaliwa nchini Uruguay na alipewa daraja ya upadre mwaka 1983. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Salto, Uruguay, kuanzia mwaka 2018 hadi kifo chake mwaka 2020.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.