Fernando Llorente

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fernando Llorente

Fernando Javier Llorente (alizaliwa 26 Februari 1985) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza Tottenham Hotspur FC na timu ya taifa ya Hispania.

Llorente alianza kazi yake na Athletic Bilbao, alipitia ngazi mbalimbali za vijana na kuwa mmoja wa wachezaji muhimu zaidi wa klabu hiyo katika miaka hiyo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fernando Llorente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.