Nenda kwa yaliyomo

Ferdinando Terruzzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ferdinando Teruzzi (17 Februari 19249 Aprili 2014) alikuwa mwendeshabaiskeli wa mashindano kutoka Italia na bingwa wa Olimpiki katika mbio za baiskeli za ufuatiliaji. Alishinda medali ya dhahabu katika mbio za tandem (pamoja na Renato Perona) katika Olimpiki za 1948 za London.[1][2]

  1. Addio a Ferdinando Terruzzi, «il Re delle Seigiorni» Corriere.it
  2. "1948 Summer Olympics – London, United Kingdom – Cycling" Archived 22 Februari 2007 at the Wayback Machine databaseOlympics.com (Retrieved on 7 June 2008)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ferdinando Terruzzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.