Ferdinand Braun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tuzo Nobel.png
Ferdinand Braun

Karl Ferdinand Braun (6 Juni 185020 Aprili 1918) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mambo ya umeme. Mwaka wa 1909, pamoja na Guglielmo Marconi, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ferdinand Braun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.