Fawzia Zainal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Fawzia Abdulla Yusuf Zainal ni mwanahabari wa Bahrain, mwanaharakati wa kijamii na mwanasiasa ambaye amekuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi tangu 12 Desemba 2018. Zainal ndiye mwanamke wa kwanza kuongoza bunge la Bahrain, na mwanamke wa pili kuongoza bunge la Ghuba-Kiarabu baada ya Bunge la UAE Amal Al Qubaisi.[1].

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Zainal alihitimu shahada ya elimu na lugha ya Kiarabu kutoka Chuo Kikuu cha Bahrain mnamo mwaka 1983.[2]na ana Stashahada ya Uzamili katika Ushauri Nasaha kutoka Chuo Kikuu cha Jordan[3]/

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Naar, Ismaeel. "Fawzia Zainal elected first woman Speaker of Bahraini parliament", Al Arabiya, 13 December 2018. Retrieved on 26 December 2018. 
  2. Fawzia Zainal … Meet the most important woman in Manama. Navva.org.
  3. Board of Trustees. Ahlia School.
Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fawzia Zainal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.