Fatmire Alushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fatmire Lira Alushi

Fatmire Lira Alushi (alizaliwa 1 Aprili 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani nchini Ujerumani ambaye alicheza kama kiungo mshambuliaji. Alishika nafasi ya tatu katika ushindani wa tuzo ya FIFA Ballon d'Or mwaka 2010 ambayo ni tuzo ya kila mwaka inayotolewa kwa mchezaji bora duniani. [1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatmire Alushi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.