Faten Hamama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
picha ya Faten Hamama, (alizaliwa 1931) mtayarishaji wa Misri na mwigizaji maarufu wa filamu, televisheni, na ukumbi wa michezo.
picha ya Faten Hamama, (alizaliwa 1931) mtayarishaji wa Misri na mwigizaji maarufu wa filamu, televisheni, na ukumbi wa michezo.

Faten Ahmed Hamama (27 Mei 193117 Januari 2015) alikuwa mwigizaji wa kike na mtayarishaji wa filamu nchini Misri.[1]

Hamama katika filamu yake ya kwanza, Yawm Said (1940).
Hamama katika filamu yake ya kwanza, Yawm Said (1940).

Alikuwa mke wa kwanza wa mkurugenzi wa filamu Ezz El-Dine Zulficar. Alionekana mara ya kwanza kwenye filamu mnamo 1939,wakati alipokuwa na umri wa miaka saba tu . Majukumu yake ya awali yalikuwa madogo, lakini shughuli na mafanikio yake ya taratibu yalimsaidia kumtambulisha kama mwigizaji mashuhuri wa Misri.Baadaye aliheshimiwa kama ikoni ya sinema misri. Mwaka 1996, filamu tisa ambazo alicheza zilichaguliwa katika filamu mia moja kwenye historia ya misri sinema wakaguzi wa filamu katika maonyesho ya kimataifa ya filamu la cairo .[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Filmography.
  2. Abd al Min'em, Ghada. Hamama, a revolution! (ar). Palestinian Cinema Group. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-10-14. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Faten Hamama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.