Nenda kwa yaliyomo

Fairweather Range

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Fairweather Range

Fairweather Range ni safu ya milima ya Alaska (Marekani) na British Columbia (Kanada) kusini mwa Milima Saint Elias.

Urefu wake katika mlima Fairweather unafikia hadi mita 4,671 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.