Nenda kwa yaliyomo

Milima Saint Elias

Mt. Saint Elias

60°30′N 139°30′W / 60.500°N 139.500°W / 60.500; -139.500 60°34′02″N 140°24′10″W / 60.56722°N 140.40278°W / 60.56722; -140.40278 Milima Saint Elias iko kati ya Marekani na Kanada.

Jina linatokana na Mlima Saint Elias ulioitwa hivyo na mpelelezi Mdani Vitus Bering mwaka 1741. </ref>

Milima mirefu zaidi

[hariri | hariri chanzo]

Milima mirefu sana katika safu hiyo ya milima ni ifuatayo:

Mlima Kimo Mahali Tanbihi
m ft
Mlima Logan5,95919,551YukonMlima mrefu kabisa nchini Kanada
Mlima Saint Elias5,48918,008Alaska-YukonMlima mrefu wa pili nchini Kanada na Marekani
Mlima Lucania5,22617,147Yukonwa tatu nchini Kanada
Mlima King5,17316,971Yukonwa nne nchini Kanada
Mlima Steele5,07316,644Yukonwa tano nchini Kanada
Mlima Bona5,00516,421Alaskawa tani nchini Marekani
Mlima Wood4,84215,885Yukon
Mlima Vancouver4,81215,787Yukon
Mlima Churchill4,76615,638Alaska
Mlima Slaggard4,74215,557Yukon
Mlima Macaulay4,69015,387Yukon
Mlima Fairweather4,67115,325BC-Alaska#1 in BC[1]
Mlima Hubbard4,57715,015Yukon
Mlima Bear4,52014,831Alaska
Mlima Walsh4,50714,787Yukon
Mlima Alverstone4,43914,565Alaska-Yukon
Mlima University4,41014,470Alaska
Mlima McArthur4,38914,400Yukon
Mlima Augusta4,28914,070Alaska-Yukon
Mlima Kennedy4,250–4300~14,000Yukon
Mlima Cook4,19613,766Alaska-Yukon
  1. Mount Fairweather is only partly in British Columbia. The highest peak entirely within British Columbia is Mount Waddington in the Coast Range, 4019 m (13186 ft).
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Richter, Donald H.; Preller, Cindi C.; Labay, Keith A.; Shew, Nora B. (2006). Geologic Map of the Wrangell-Saint Elias National Park and Preserve, Alaska. USGS Scientific Investigations Map 2877.
  • Winkler, Gary R. (2000). A Geologic Guide to Wrangell—Saint Elias National Park and Preserve, Alaska: A Tectonic Collage of Northbound Terranes. USGS Professional Paper 1616. ISBN 0-607-92676-7.
  • Wood, Charles A.; Kienle, Jürgen, whr. (1990). Volcanoes of North America. Cambridge University Press. ISBN 0-521-43811-X.