Fabrice Kwizera
Mandhari
Fabrice Kwizera | |
---|---|
Amezaliwa | Fabrice Patient Kwizera Machi 28 1994 Bujumbura, Burundi |
Kazi yake | Muigizaji |
Miaka ya kazi | Tangu 2010 |
Fabrice Patient Kwizera (28 Machi 1994, Bujumbura ) ni msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Burundi. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Burundi, Kwizera anajulikana kua ameigiza katika filamu fupi kutoka inchini Congo inayo itwa Viva Riva!.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Fabrice alianza masomo yake katika shule ya msingi ya Cibitoke, na kuendela na masomo ya sekondari huko Municipal Lycee of Cibitoke na baadae kupata uhamisho katika shule moja jijini Bujumbura iitwayo Lake Tanganyika Lycee. Alivyomaliza kidato cha mwisho ndipo alianza shuli za kucheza filamu alipo kutana na mutayarishaji Ivan Goldschmidt kutoka inchini Ubelgiji.
Filamu na Tamthilia Alizotunga
[hariri | hariri chanzo]- 2010 : Na Wewe (Na Wewe: Swahili) – Kama Rebel
- 2010 : Viva Riva! Ya Djo Tunda Wa Munga – Kama Jason.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- www.FabriceKwizera.com Archived 17 Mei 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fabrice Kwizera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |