Ezzaki Badou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zaki mwaka 2009

Ezzaki Badou, (الزاكي بادو; maarufu kwa jina la Zaki, alizaliwa 2 Aprili, 1959) ni mkufunzi wa soka na mchezaji wa zamani wa Moroko ambaye alicheza kama mlinda mlango. Anasimamia Timu ya Taifa ya Sudan.

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Mchezaji[hariri | hariri chanzo]

Wydad Casablanca

 • Botola: 1977–78, 1985–86[1]
 • Coupe du Trône: 1978, 1979,[2] 1981[3]
 • Kombe la Mohammed V: 1979

RCD Mallorca

Mkufunzi[hariri | hariri chanzo]

Wydad Casablanca

 • Coupe du Trône: 1998[4]
 • CAF Cup fainali: 1999
 • Arab Club Champions Cup fainali: 2009

CR Belouizdad

 • Cup of Algeria: 2017

Morocco

Binafsi[hariri | hariri chanzo]

 • Mchezaji Bora wa Morocco: 1979, 1981, 1986, 1988
 • Mlinda mlango Bora wa Morocco: 1978, 1979, 1986
 • CAF African Footballer of the Year: 1986
 • Mchezaji Bora wa Kiarabu wa Mwaka: 1986
 • Golden Ball mkufunzi bora nchini Algeria: 2017[6]
 • Ricardo Zamora Trophy: 1988–89[7]
 • Mlinda mlango bora wa La Liga: 1988, 1989, 1990
 • Mlinda mlango bora wa Kiarabu wa karne ya 20
 • IFFHS Mlinda mlango bora wa Kiafrika wa karne ya 20[8]
 • IFFHS Timu Bora ya Ndoto ya Wanaume wa Morocco ya wakati wote[9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Abbink, Dinant; Batalha, José. "Morocco 1985/86". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 12 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
 2. Batalha, José. "Morocco 1978/79". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 12 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
 3. Batalha, José; Du KAC, PFS; Jönsson, Mikael. "Morocco 1980/81". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 12 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
 4. "Morocco 1997/98". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 12 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
 5. "African Nations Cup 2004". RSSSF. 
 6. [https://www.yabiladi.com/articles /details/60990/algerie-badou-zaki-sacre-meilleur.html "Algérie : Badou Zaki sacré meilleur entraîneur pour l'année 2017"]. 
 7. "Zaki Badou, historia del Real Mallorca, invitado al centenario del club" [Zaki Badou, historia del Real Mallorca, invitado al centenario del club] (kwa Kihispania). Mallorca Esports. 22 September 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 February 2016. Iliwekwa mnamo 12 February 2016.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
 8. sondage réalisé par FIFA World Cup
 9. "IFFHS". IFFHS. 1 March 2022. Iliwekwa mnamo 3 March 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ezzaki Badou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.