EyeHarp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

EyeHarp ni ala ya muziki ya kielektroniki inayodhibitiwa kwa kusogeza macho au kichwa cha mchezaji. [1][2][3][4]Inachanganya vifaa vya kufuatilia macho na programu maalum iliyoundwa, ambayo ina jumuisha sehemu moja ya kufafanua chords na arpeggios, na sehemu nyingine kubadilisha fasili hizo na kucheza nyimbo. [2]Watu walio na utendakazi ulioharibika sana wanaweza kutumia ala hii kucheza muziki au kama msaada wa kujifunza au utunzi.[5]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Ukuzaji na uanzilishi wa EyeHarp ulianza mnamo 2011 huko Barcelona chini ya ufadhili wa Chuo Kikuu cha Pompeu Fabra.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu EyeHarp kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.