Everyday Sunday

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Everyday Sunday

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Trey Pearson (mwanachama mwanzilishi), Kevin Cramblet, Tyler Craft, na Nick Spencer
Aina ya muziki Nyimbo za Kikristo
Kazi yake Wanamuziki
Ala Gitaa
Tovuti Tovuti Rasmi

Everyday Sunday ni bendi Columbus, Ohio lililohusu Trey Pearson (mwanachama mwanzilishi), Kevin Cramblet, Tyler Craft, na Nick Spencer. Bendi ya zamani ilitoa albamu mbili na Flicker Records zikiwa Stand Up na Anthems for the Imperfect Wake Up! Wake up! ilikuwa albamu yao ya kwanza na Inpop Records ilitolewa tarehe 22 Mei 2007.

Tarehe 13 Machi 2009,bendi lilihusika katika ajali ya gari Valparaiso, IN. Gari na trela yake lilianguka na kubingirika mara 3-4,likamtupa Tyler(dereva) na kuwafungia watatu. Wao walikuwa kupelekwa hospitali ya hapo karibu ambapo walitibiwa na kuachiliwa.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu zao[hariri | hariri chanzo]

Sleeper (2001 )[hariri | hariri chanzo]

 1. "Would You Leave"
 2. "Sleeper"
 3. "Wait"
 4. "This Time"
 5. "Just A Story"
 6. "I Will Stand Up Now"
 7. "You Are God"
 8. "Herself (I Want A Girl)"
 9. "Hanging On"
 10. "Live For You Tonight"
 11. "Don't Leave"

Stand Up (2002, Flicker Records)[hariri | hariri chanzo]

 1. "Would You Leave"
 2. "Mess With Your Mind"
 3. "Wait"
 4. "Stand Up"
 5. "Live For You Tonight"
 6. "Hanging On"
 7. "Lose It Again"
 8. "Just A Story"
 9. "Sleeper"
 10. "This Time"
 11. "Don't Leave"
 12. "Stand Up (remix)"

Anthems for the Imperfect (2004, Flicker Records)[hariri | hariri chanzo]

 1. "I Wish I Could Say"
 2. "Bring It On"
 3. "Gypsy Girl (What Love Is)"
 4. "I Won't Give Up"
 5. "Something"
 6. "Herself (I Want A Girl)"
 7. "Freshman Year"
 8. "Comfort Zone"
 9. "To The Skies"
 10. "Star Of The Show"
 11. "Untitled, Anonymous"
 12. "The One"


Wake Up! Wake Up! (2007, Inpop Records)[hariri | hariri chanzo]

 1. "Let's Go Back" – 3:05
 2. "Wake Up! Wake Up!" – 2:49
 3. "Take Me Out" – 3:15
 4. "Find Me Tonight" – 3:43
 5. "Apathy for Apologies" – 3:10
 6. "I'll Get Over It (Miss Elaineous)" – 3:25
 7. "What We're Here For" – 3:15
 8. "Now You're Gone" – 2:55
 9. "Tell Me You'll Be There" – 3:37
 10. "From Me to You" – 4:36

Best Night of Our Lives (2009, Inpop Records)[hariri | hariri chanzo]

 1. "The Best Night of Our Lives" (Jesse Counts, Ben Glover, Trey Perrson, Mark LeeTownsend) - 3:14
 2. "Under Your Thumb" (Kevin Cramblet, Pearson, Nick Spencer, Townsend) - 3:11
 3. "Lies and Fear Go Hand in Hand" (Counts, Pearson, Townsend) - 3:27
 4. "Breathing for Me" (Glover, Pearson, Townsend) - 2:42
 5. "Where I Ended" (Counts, Pearson, Townsend) - 3:21
 6. "Figure It Out" (Glover, Pearson, Townsend) - 3:44
 7. "Pity the Man Who Falls and Has No One to Help Him Up" (Counts, Pearson, Townsend) - 2:48
 8. "Come Around" (Tyler Craft, Glover, Pearson, Townsend) - 3:23
 9. "Here With Me" (Jesse Counts, Craft, Kevin Cramblet, Glover, Jesse Pearson, Townsend) - 5:07
 10. "In the End" (Pearson, Townsend) - 3:35
 11. "Reprise (Where I Ended)" - 3:48

Video zao[hariri | hariri chanzo]

Wait kutoka albamu ya 'Stand up'
Lose It Again kutoka albamu ya 'Stand up'
Comfort Zone kutoka albamu ya 'Anthems for the Imperfect'
Gypsy Girl (What Love Is) kutoka 'Anthems for the Imperfect'
Wake Up! Wake Up! kutoka albamu yao ya 2007 'Wake Up! Wake Up!'

Usimamizi[hariri | hariri chanzo]

Meneja: Kujo pamoja na Nightvision Artist Management
Meneja wa kampeni: Mandy Collinger

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]