Nenda kwa yaliyomo

Flicker Records

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Flicker Records
Shina la studio Sony Music Entertainment
Imeanzishwa 1999
Mwanzilishi Audio Adrenaline
Nchi MarekaniMarekani
Mahala Franklin, Tennessee
Tovuti www.flickerrecords.com

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Flicker Records ni studio ya kurekodimuziki ya Kikristo ambayo ina makao yao mjini Franklin, Tennessee. Ilianzishwa na wanachama wa kundi la Kikristo la Audio Adrenaline. Hasa studio hii inalenga wasanii wanaoimba nyimbo za aina ya mwamba, ingawa pia ina sehemu ya, Big House Kids,inayorekodi nyimbo za watoto za Kikristo.[1]

Nyimbo za studio hii zilisambazwa na EMI tangu mwaka wa 1999.[2] Tangu 24 Machi 2006, Flicker imekuwa mwanachama wa Kundi la Provident Label, sehemu ndogo ya Sony Music Entertainment.[3]

  • Riley Armstrong (mwimbaji)
  • eleventyseven (mwimbaji)
  • Fireflight (mwimbaji)
  • Flatfoot 56 (mwimbaji,sasa amejiunga na Old Shoe Records)
  • Everyday Sunday ((mwimbaji),amejiunga na Inpop Records)
  • Kids in the Way (Waliungana tena, wanaimba katika tamasha ndogondogo )
  • Monk and Neagle (Wanaimba)
  • Mortal Treason (Waliachana)
  • Nevertheless (bendi)(Waliachana)
  • Phat Chance
  • Pillar (bendi) (Wanaimba, walijiunga na Essential Records)
  • Royal Ruckus
  • Staple (bendi) (Waliungana tena)
  • Stereo Motion
  • Subseven (Waliachana)
  • The Swift (Waliachana)
  • T-Bone (mwimbaji)
  • Until June (Wanaimba, on SonyBMG/Authentik Artists)
  • Wavorly

Angalia Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Flicker Records yaanzisha Studio ya Kikristo. Nashville Business Journal, 22 Septemba 2003.Ilipatikana 9 Septemba 2007.
  2. Flicker Records Ilihifadhiwa 6 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.. CMSpin.com.Ilipatikana 9 Septemba 2007.
  3. Flicker yaunda mkataba na Nevertheless Ilihifadhiwa 11 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.. Ilipatikana 9 Septemba 2007.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]