Everyday I Love You
Mandhari
“Everyday I Love You” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Boyzone kutoka katika albamu ya The Singles Collection 1994-1999 | |||||
Imetolewa | 22 Novemba 1999 | ||||
Aina | Pop | ||||
Studio | Polydor | ||||
Mtunzi | Watunzi Tofauti | ||||
Mtayarishaji | Watayarishaji Tofauti | ||||
Mwenendo wa single za Boyzone | |||||
|
Everyday I Love You ni single ya mwisho kutoka kwa bendi ya vijana wa Kireland Boyzone kabla ya kuanza kutengana mnamo 2000. Wimbo ulifikia nafasi ya #3 kwenye chati za UK Singles Chart. Wimbo umepata hadhi ya mauzo ya Silver kwa kuuza nakala zaidi ya 200,000 nchini Uingereza. Mashairi hasa yanahusu mapenzi ya, tena kwa mshangao kuwa anachokiota kimekuwa kweli.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- CD1
- "Everyday I Love You"
- "No Matter"
- "Will I Ever See You?"
- CD2 (In Limited Edition Digipak)
- "Everyday I Love You"
- "A Different Beat" (Live From Sheffield Arena)
- "Boyzone Christmas Message"
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1999) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Irish Singles Chart | 1 |
UK Singles Chart[1] | 3 |
Norweigan Singles Chart | 10 |
Swedish Singles Chart | 13 |
Belgian (Flanders) Singles Chart | 17 |
Finnish Singles Chart | 20 |
Dutch Singles Chart | 34 |
Chart (2000) | Peak position |
New Zealand Singles Chart | 24 |
German Singles Chart | 41 |
Swiss Singles Chart | 56 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ UK Singles Chart Chartstats.com (Retrieved 23 Novemba 2008)