Nenda kwa yaliyomo

Even Hovland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Even Hovland

Even Hovland (alizaliwa 14 Februari 1989) ni mchezaji wa soka wa Norway ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Rosenborg na timu ya taifa ya Norway.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Hovland alitajwa katika kikosi cha Norway katika mashindano ya kufuzu ya EURO 2012 dhidi ya Cyprus mnamo 11 Oktoba 2011, kwa sababu Brede Hangeland alisimamishwa kwa sababu ya kadi za njano mbili Hovland alicheza katika timu ya wakubwa kwenye mchezo wa kirafiki ambao walitoka sare ya 1-1 dhidi ya Denmark mnamo 15 Januari 2012.

Pia Hovland alicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ireland ya Kaskazini mnamo tarehe 29 Februari 2012.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Even Hovland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.