Nenda kwa yaliyomo

Evelyn Boyd Granville

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Evelyn Boyd Granville, (alizaliwa 1 Mei 1924) alikuwa mwanamke wa pili Mmarekani-Mwafrika kupokea shahada ya uzamivu katika hisabati kutoka chuo kikuu cha Marekani; [1] aliipata mwaka wa 1949 kutoka Chuo Kikuu cha Yale.

Alihitimu kutoka Chuo cha Smith mnamo 1945. [2] [3] Alifanya kazi katika masuala ya kompyuta. [4]

  1. "10 Famous Women in Tech History". Dice Insights. 2016-03-14. Iliwekwa mnamo 2017-02-01.
  2. Williams, Scott W. "Evelyn Boyd Granville". Mathematics Department, State University of New York at Buffalo. Iliwekwa mnamo 2014-06-21..
  3. Schlager, Neil; Lauer, Josh (2001). "Evelyn Boyd Granville". Science and Its Times: Understanding the Social Significance of Scientific Discovery. Gale Group. ISBN 9780787639334.
  4. Nowlan, Robert A. (2017). Masters of Mathematics: The Problems They Solved, Why These Are Important, and What You Should Know about Them. Springer. uk. 453. ISBN 9789463008938. Granville [contributed] her expertise in the field of computer science during its pioneer years.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Evelyn Boyd Granville kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.