Eveliina Summanen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Summanen akichezea Ufini mnamo 2015

Eveliina Anna Maria Summanen (alizaliwa 29 Mei 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufini ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Ufini.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Spurs sign Finland midfielder Summanen", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-28 
  2. "Finland [Women] - AppearancesWomen World Cup Qualifiers Europe 2017/2018". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eveliina Summanen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.