Esterina Julio Kilasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Esterina Julio Kilasi (amezaliwa tarehe 23 Mei 1957) ni mbunge wa jimbo la Mbarali katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Esterina Julio Kilasi (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.