Nenda kwa yaliyomo

Esma Voloder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Esma Voloder

Esma Voloder ni mwigizaji, mwanamitindo na mshindi wa taji la mashindano ya urembo wa Bosnia|,Australia ambaye alitawazwa kuwa Miss World Australia mwaka 2017 na aliwakilisha Australia katika mashindano ya Miss World mwaka 2017.[1][2]

  1. "Miss World Australia title goes to criminal profiler Esma Voloder". news. 15 Julai 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Esma Voloder is Miss World Australia 2017". Pageanthology 101. 14 Julai 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Esma Voloder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.