Nenda kwa yaliyomo

Ernest Nuamah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernest Nuamah Appiah (alizaliwa 1 Novemba 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ghana, ambae anacheza kama winga klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa akitokea klabu ya RWD Molenbeek kwa mkopo na timu ya taifa ya Ghana .[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.cafonline.com/media/szzh20fx/afcon-2023-provisional-squads-list.pdf
  2. "Ernest Nuamah, statistik fra superligaen, all-time - SuperStats". superstats.dk. Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Nuamah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.