Erlangen
Mandhari

Erlangen ni mji wa Bavaria nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Regnitz. Idadi ya wakazi wake ni takriban 105,554. Mji ulianzishwa 1002.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Erlangen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |