Erina Yamane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Erina Yamane (alizaliwa 20 Desemba 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya JEF United Chiba. Awali alichezea timu ya taifa ya Japani.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erina Yamane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.