Eriko Goya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eriko Goya ni mchezaji wa soka nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya Sanfrecce Hiroshima Regina Fc inayoshiriki ligi kuu ya wanawake (WE league) nchini Japan.[1].[2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sanfrecce Hiroshima Regina", Okinawa Times, September 12, 2021. (Japanese) 
  2. Yamamoto, Kentarō. "chugoku", Chūgoku Shimbun, February 23, 2023. (Japanese) 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eriko Goya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.