Enzo G. Castellari
Mandhari
Enzo G. Castellari (alizaiwa akiwa na jina la Enzo Girolami, mnamo tar. 29 Julai ya mwaka wa 1938) ni mwongozaji wa filamu kutoka nchini Italia. Ni mtoto wa mwongozaji wa filamu Marino Girolami, almaarufu kama Franco Martinelli. Enzo alijijengea jina mwenyewe katika miaka ya 1960 kwa kuongoza filamu kadhaa za western, maarufu kama Spaghetti Westerns, moja kati ya filamu hizo ni kama ifuatavyo: Go Kill and Come Back, Seven Winchesters for a Massacre na Go Kill Everybody and Come Back Alone.
Ona pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya ne
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi ya Enzo G. Castellari Ilihifadhiwa 25 Julai 2021 kwenye Wayback Machine.
- Enzo G.Castellari-biography katika (re)Search my Trash