Eneo bunge la Nyeri Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eneo bunge la Nyeri Mjini ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi MP [1] Chama Vidokezo
1988 Waruru Kanja KANU Mfumo wa chama kimoja.
1990 Waihenya Ndirangu KANU Uchaguzi mdogo, Mfumo wa chama kimoja.
1992 Isaiah Mwai Mathenge Democratic Party
1997 Wanyiri Kihoro Democratic Party
2002 Peter Gichohi Mureithi NARC
2007 Esther Murugi Mathenge PNU

Wards[hariri | hariri chanzo]

Wards
Ward Wapiga kura waliosajiliwa Local authority
Chania 5,145 Nyeri municipality
Gatitu 8,463 Nyeri municipality
Kamakwa 8,616 Nyeri municipality
Karia 4,763 Nyeri municipality
Kiganjo 3,491 Nyeri municipality
Kirichu 3,521 Nyeri municipality
Mukaro 4,731 Nyeri County
Muruguru 3,992 Nyeri municipality
Nyaribo 667 Nyeri municipality
Nyeri Central 13,876 Nyeri municipality
Total 57,265
*Septemba 2005 | [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [0] ^Muungano wa Kidemokrasia 'Center for Multiparty Democracy': Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
  2. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]