Emuruangogolak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Emuruangogolak ni volkeno hai yenye kimo cha mita 1,328 juu ya UB.

Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Samburu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]