Emirates (uwanja wa mpira)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uwanja wa Emirates

Emirates ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Uingereza Arsenal FC. Uwanja huu unapatikana huko Holloway London nchini Uingereza.

uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000, ni uwanja wa tatu kwa ukubwa nchini Uingereza baada ya Uwanja wa Wembley na Old Trafford.

Mnamo mwaka 1997, Arsenal ilielezea uwezekano wa kuhamia kwenye uwanja mpya, baada ya kukataliwa ruhusa ya kupanga na Baraza la Islington ili kupanua ardhi yake ya Highbury.


Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emirates (uwanja wa mpira) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.