Emilie Autumn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Emilie Autumn

Emilie Autumn Liddell[1] (anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Emilie Autumn; alizaliwa Septemba 22, 1979) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo, mshairi, mwandishi na mpiga gitaa wa nchini Marekani.

Mtindo wa muziki wa Autumn unaelezewa ni kama "Fairy Pop", "Fantasy Rock" au "Victoriandustrial".[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Autumn, Emilie (April 5, 2010). There have been questions.... Twitter. “There have been questions about my legal name for some reason lately – It's in the book. Emilie Autumn Liddell.”
  2. Emilie Autumn (April 2010). Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-06-04. Iliwekwa mnamo 2022-02-26.
  3. "Weekend Hotlist", Pittsburgh Post-Gazette, December 3, 2009. 
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emilie Autumn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.