Nenda kwa yaliyomo

Emile Baron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emile Raymond Baron (alizaliwa 17 Juni 1979), ni mchezaji wa soka wa zamani wa Afrika Kusini aliyecheza kama golikipa wa timu ya taifa ya Afrika Kusini.

Ushiriki kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Baron alicheza kwanza kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya soka ya Saudi Arabia tarehe 20 Machi 2002 na hadi sasa amecheza mara 4. Pia alikuwa mshiriki wa kombe la mataifa ya Afrika 2004. Mwezi Aprili 2010, alipata jeraha la bega lililosababisha akose kushiriki Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2010

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emile Baron kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.