Nenda kwa yaliyomo

Ellen Burka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ellen Burka

Burka mnamo mwaka 1990
Amezaliwa Agosti 11, 1921
Amsterdam, Netherland
Amekufa Septemba 12, 2016

(Na umri wa miaka 95)
Toronto, Ontario, Canada

Nchi Netherlands
Majina mengine Ellen Danby
Kazi yake Mwanamichezo wa skater na kocha

Ellen Burka CM ( 11 Agosti 1921 - 12 Septemba 2016) anajulikana kama Danby ni mwanamichezo wa densi ya barafu na kocha kutoka Kanada na Uholanzi. Alijiunga na Oda ya kanada mwaka 1978 na kuteuliwa katika Ukumbi wa Watu Maarufu wa Michezo ya kanada mwaka 1996.[1]

  1. https://archive.today/20131015230917/http://sports.nationalpost.com/2013/10/15/ellen-burka-canadian-who-survived-the-holocaust-revolutionized-figure-skating-and-still-coaches-at-92-gets-another-honour/