Elizabeth Biddulph
Mandhari
Elizabeth Philippa Biddulph, Baroness Biddulph VA (alizaliwa Lady Elizabeth Yorke, baadae Lady Elizabeth Adeane; 15 Novemba 1834 – Januari 1916) alikuwa kiongozi wa misaada ya kibinadamu na wa harakati za kupinga ulevi nchini Uingereza.
Alichapisha wasifu wa baba yake Charlse, 4th Earl wa Hardwicke, na aliteuliwa na Malkia Victoria kama Msaidizi wa Malkia (Woman of the Bedchamber).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "THE LATE LADY BIDDULPH.", Cambridge Independent Press, 21 January 1916, p. 6. (en)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Biddulph kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |