Nenda kwa yaliyomo

Elimu ya Haki za Binadamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elimu ya Haki za Binadamu hutafsiriwa kama mfumo wa kujifunza unaotengeneza elimu hitajika, maadili, na ustadi wa haki za binadamu ambao lengo lake ni kukuza utamaduni wa haki za binadamu zinazokubalika.

Aina hiyo ya elimu inafunza wanafunzi jinsi ya kudadavua uwezo wao katika masuala yahusianayo na haki za binadamu kuweza kuingiza masuala hayo katika maadili na katika kufanya maamuzi yao.[1]. Kulingana na Amnesty International, elimu ya haki za binadamu ni namna ya kuwezesha watu kutengeneza maarifa na tabia ambayo itakuza utu na usawa ndani ya kundi, jamii na duniani kote.

Kutokuwa na ubaguzi[hariri | hariri chanzo]

Mpango wa uchumi wa taifa na haki za kijamii umeeleza umuhimu wa kutokuwa na ubaguzi kwenye haki za binadamu ya elimu. Mamlaka za serikali duniani zinapaswa kuzingatia utekelezaji bila kuwa na upendeleo kwa rangi, jinsia, dini, utaifa, asili ya jamii, ama wa aina yoyote. Wanafunzi wote, wazazi na jamii kwa ujumla wana haki ya kushiriki katika maamuzi yanayoathiri shule zao ama haki yao ya elimu. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "WHAT is human rights education?". www.theadvocatesforhumanrights.org. Iliwekwa mnamo 2018-06-22.
  2. "Join NESRI in supporting people's movements for human rights". www.nesri.org (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 2018-06-22. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elimu ya Haki za Binadamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.