Nenda kwa yaliyomo

Elijah Lagat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elijah Kiptarbei Lagat (alizaliwa 19 Juni 1966) alikuwa mshindi 104 katika mbio za Marathoni ya Boston zilizofanyika mwaka 2000. Alishinda kwa kumaliza kwa ushindi wa karibu zaidi katika historia ya mbio hizo alipowashinda Gezahegne Abera wa Ethiopia na Mkenya mwenzake na bingwa wa mwaka uliopita, Moses Tanui[1][2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Marathoner Elijah Lagat back on Kenya Olympic team". 31 Julai 2000. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Julai 2012. Iliwekwa mnamo 20 Oktoba 2006.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link)
  2. Burris, Joe. "Lagat had Olympic disappointment after Boston victory". 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elijah Lagat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.