El Brij, Tunisia
Mandhari
El Brij ni kijiji kilichopo Tunisia, katika rasi ya Bon, karibu na kijiji cha Sidi Rais na Korbous.
Umezungukwa na msitu wa Oorbus na ufikaji kwenye fukwe za Karthago ni rahisi kwa wakazi, sehemu imekuwa maarufu kama kituo cha afya kipindi cha Dola la Roma.[1] [2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Beni Otsmane Tunisia, North Africa.
- ↑ Beni Otsmane: Tunisia, National Geospatial-Intelligence Agency, Bethesda, MD, USA.
- ↑ Beni Otsmane Tunisia, North Africa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu El Brij, Tunisia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |