Ekbatana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mabaki ya Ekbatana ndani ya Hamadan

Ekbatana (pia Ecbatana; fa. هگمتانه hagmatane) ni jina la mji wa Kihistoria katika Ujemi. Leo hii iko ndani ya eneo la mji wa Hamadan.

Kufuatana na taarifa ya Herodoti ilikuwa mji mkuu wa Astyages mfalme wa mwisho wa Umedi na baada ya uvamizi wa Koreshi Mkuu mmoja kati ya miji mikuu miwili ya huyu mfalme. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ecbatana". Encyclopædia Britannica. Encyclopædia Britannica.
  2. "Ecbatana". The American Heritage Dictionary of the English Language. Houghton Mifflin. 2009. http://www.thefreedictionary.com/Ecbatana. Retrieved 2011-11-27.