Edistiana
Mandhari

Edistiana ulikuwa mji wa kale wa Waroma na Waberber mkoa wa Africa Proconsularis katika zama za mwisho za Byzacena. Hiyo sehemu ipo Tunisia kwa sasa. Zamani ilikuwa dayosisi ya Kanisa Katoliki.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |