Ebru Uzungüney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ebru Uzungüney

Ebru Uzungüney (alizaliwa 13 Mei 1997) ni mchezaji wa soka wa nchini Uturuki na ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Eintracht Frankfurt III na timu ya taifa ya Uturuki.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Oyuncular – Futbolcular:Ebru Uzungüney" (kwa Turkish). Türkiye Futbol Federasyonu. Iliwekwa mnamo 7 April 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ebru Uzungüney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.