Ebony Salmon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salmon akiwa na Bristol City

Ebony Salmon (alizaliwa 27 Januari 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa iliyopo Ligi Kuu ya Wanawake (WSL),[1] na timu ya taifa ya Uingereza,[2] na timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23, amewahi kucheza katika klabu za Sheffield United, Bristol City, Racing Louisville na Houston Dash. Salmon amekuwa nahodha wa vijana wa chini ya miaka 17 na chini ya miaka 23 Uingereza

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Wrack, Suzanne (2018-10-09), "From Ellie Roebuck to Ebony Salmon: 10 young English footballers to watch", The Guardian (kwa en-GB), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2024-04-25 
  2. The Football Association. "Bristol City striker Ebony Salmon added to England squad for Northern Ireland game". www.thefa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-25. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ebony Salmon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.