Nenda kwa yaliyomo

East Rand

Majiranukta: 26°10′38″S 28°13′19″E / 26.17722°S 28.22194°E / -26.17722; 28.22194
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

26°10′38″S 28°13′19″E / 26.17722°S 28.22194°E / -26.17722; 28.22194

Germiston
Benoni

East Rand ni upande wa mashariki wa Witwatersrand. Imeunganika na Johannesburg, mkoa wa Gauteng, nchini Afrika Kusini. Eneo hilo lilianza kukaliwa na Wazungu mwaka 1886 kutokana na upatikanaji wa migodi ya dhahabu uliosababishwa kuundwa kwa Johannesburg.

Eneo hilo linaanzia Germiston hadi Springs na Nigel, likijumuisha miji ya Boksburg, Benoni, Brakpan, Kempton Park, Edenvale na Bedfordview.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu East Rand kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.