Nenda kwa yaliyomo

Dusty Rhodes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rhodes mnamo 1982
Rhodes mnamo 1982

Virgil Riley Runnels Jr (anajulikana zaidi kama Dusty Rhodes; 12 Oktoba 1945 - 11 Juni 2015) alikuwa mchezaji wa mieleka.

Jina lake la utani ni "American Dream". Yeye ni baba ya Dustin Rhodes na Cody Rhodes ambao pia ni wapambanaji wa mieleka. Yeye alikuwa mwanachama wa WWE Hall of Fame wakati alipojiunga mwaka 2006.

Rhodes alifariki kutokana na kushindwa kwa figo katika hospitali ya Orlando, Florida, akiwa na umri wa miaka 69.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dusty Rhodes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.