Dream League Soccer 2018

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dream League Soccer 2018 ni mchezo wa kompyuta wa mpira wa miguu ulioendelezwa na kuchapishwa na wanamichezo wa Touch Tao.

Dream League Soccer 2018 ilitolewa duniani kote na iOS mnamo 15 Novemba 2017 na kwenye simu za mkononi tarehe 28 Novemba 2017.

Jinsi ya kucheza[hariri | hariri chanzo]

Dream league huanza kwa kuundwa klabu yako mwenyewe. Mchezaji anaanza kucheza kwa kuwa meneja wa timu inayoitwa Dream FC, ambayo itakuwa na wachezaji wenye kiwango cha chini ndani ya kikosi. mchezaji unaweza kuunda jina la timu,viatu vya wachezaji,logo ya timu.

Kuna migawanyo sita ya njia ya kupanda hadi daraja la juu .Gemu hili pia linajumuisha multi-player ambapo mnaweza kucheza watu wawili, endapo kukiwa na Wi-Fi mnaweza mkacheza wawili,kila mtu akiwa meneja wa timu yake.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dream League Soccer 2018 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.