Draymond Green

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Draymond Green akiwa anachezea timu ya kikapu ya Golden State Warriors mwaka 2017

Draymond Green (alizaliwa 4 Machi 1990) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Golden State Warriors katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).

Draymond alifanikiwa kushinda mara tatu na timu ya Golden State Warriors tuzo ya timu bora ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA). Amefanikiwa kuteuliwa katika timu ya mastaa marekani kwa mara tatu. Mwaka 2017, alishinda tuzo ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA) kama mchezaji mkabaji bora wa mwaka.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Draymond Green kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.