Dounia Abdourahim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dounia Abdourahim nyuma kushoto de l'équipe de Toulon St-Cyr Var Handball. Machi 21, 2014
Dounia Abdourahim nyuma kushoto de l'équipe de Toulon St-Cyr Var Handball. Machi 21, 2014

Dounia Abdourahim (amezaliwa 17 Januari 1992) ni mchezaji wa mpira wa mikono wa Ufaransa. Anachezea klabu ya Siófok KC, na timu ya taifa la Ufaransa . Aliwakilisha Ufaransa kwenye Mashindano ya Dunia ya Mpira wa Mikono ya Wanawake ya 2013 huko Serbia.

[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. DOUNIA ABDOURAHIM - Career & Statistics | EHF (en). www.eurohandball.com. Iliwekwa mnamo 2023-02-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dounia Abdourahim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.